Je, unafikiria kuchagua gauni la
harusi ni kazi ngumu? Subiri hadi ualikwe harusini na hauna nguo ya kuvaa.
Maybe unaona nguo zako zote zinaboa. Relax, pekua kabati vizuri kabla ya kuamua
kwenda shopping. Uawezaa vaa nguo zako za kawaida bora tu ziwe unique. Hii hapa
mifano ya nguo simple za harusi ambazo zinaweza patikana kabatini.
No comments:
Post a Comment